Thursday, September 5, 2013

Bullet Proof awachana chana wana Ragga Muffin wa bongo


Katika kile kinachoonekana kuwa ni kufunguliwa kwa milango ya wasanii wa Ragga muffin na Dancehall hapa nchini msanii BulletProof mkali katika miondoko hiyo ambae kwa sasa anaishi kule jijin Nairobi amekula shavu la kushiriki katika bonge la Riddim llinaloshirikisha wasanii kadhaa wakali hapa afrika 

Aidha msanii huyo ambae ameiwakilisha  Tanzania na nyimbo yake kali anayokwenda kwa jina la 
Dem Nuh Bad humo ndani amesikika akiwachana vikali wanaojifanya kuwa ni ma Rude Bowy ili hali wanavaa ki BattyBoy  hahahahha line hizo zina maana nzito na zimewalenga wasanii wanojiita wakali  wa Dance hall .

je wataka kujua ni nani na nani walitaja humo ndani fwatilia makala hii nzima nitafanya interview na mkali huyu nikujuze  amedhamiria nini na anakuleteeni kitu gani kipya hivi sasa baada ya kupata hizo shavu za kuvuka mipaka ya afrika mashariki na hadi kufikia collabo na wa Jamaica.




Bofya hapo chini kusikiliza signacha Riddim kutoka kumbitronix